Wednesday, July 1, 2015

KARIBU SHULE YA SEKONDARI ENGUTOTO

Shule ya sekondari engutoto inapatikana katika wilaya monduli mkoani arusha
shule hii ipo mjini monduli ambapo ni shule pekee ya wavulana iliyopo monduli mjini

Shule ya sekondari engutoto ni ya bweni tu na ni ya jinsia moja tu (wavulana) kuanzia kidato cha kwanz mpaka cha sita

Shule hii inapakana na shule ya maasai girls kwa upande wa mashariki,chuo cha ualimu monduli kwa upande wa kaskazini,shule ya msingi sinoni kwa upande wa kusini huku ikipakana na barabara kuu iendayo arusha kwa upande wa magharibi

shule ya sekodari engutoto ni kitovu cha kitaaluma kwa mkoa wa arusha ikiwa na matokeo ya kuvutia mara mara hasa yale ya kidato cha sita

karibu ENGUTOTO